Boshoo the ninjaSasa nimeamua kukalisha ngamia bila dua/
Mademu wanataka pesa sio bamia wala mua/
Sent using unknown device
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boshoo the ninjaSasa nimeamua kukalisha ngamia bila dua/
Mademu wanataka pesa sio bamia wala mua/
Sent using unknown device
Sio mtu wa kuanua mi nautuliza/
Mami nishaamua amua kumaliza/
Mchanga mweupe chini ya maji kabla ya kiza/
Moyo mashine ila mapenzi yanaumiza/
Tufunge huu mjadala nipate kulala nipenzi nipendo tu mengine walaaa/
Chapa kazi ule vitamu sema inshallah/
Kitambaa cheupe mtoto soma ishara/
Kitanda kisizae haramu ikawa msala/
Kitandani nipe nyama ya ulimi baada ya sala...
Maarifa the big thinker.
maisha safari ukiwai kufika tutakuombea kwa sala njema Uno the incredible (kichwa)Mi Nafanya Kama Sijawahi Fanya Vyema
Na Nikifanya Nitafanya kama sintowahi fanya tenaaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
maskini najiamini mpaka natokwa na ukungu,bila ujuzi wasingenithamini ningetoswa ata na nduguNina kuburi cha jeraha ukinipoteza naacha kovu
By Fid Q 13
hizi hisia ni gazeti mi mhariri, uliekariri, hiki kiti chenye msumali ukiketi keti kiakili one the incredible classic material