Uzi wa Hip Hop

Uzi wa Hip Hop

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Kama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop

Naanza mimi

Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
Hatujuani kwa sababu tunatengana/
Dunia ni pana walimwengu hawana mana.

Karibuni wakuu ikipatikana na picha yeyote itapendeza zaidi ili kunogesha uzi.

Asanteni
 
NINETY FIVE was a beautiful year for L...

Now I'm back and all the LADIES still cheer for L...

Whatever I write is gonna be tight...

Cause if makin' hits is wrong I don't wanna be right...
 
Sio mtu wa kuanua mi nautuliza/
Mami nishaamua amua kumaliza/
Mchanga mweupe chini ya maji kabla ya kiza/
Moyo mashine ila mapenzi yanaumiza/
Tufunge huu mjadala nipate kulala nipenzi nipendo tu mengine walaaa/
Chapa kazi ule vitamu sema inshallah/
Kitambaa cheupe mtoto soma ishara/
Kitanda kisizae haramu ikawa msala/
Kitandani nipe nyama ya ulimi baada ya sala...
 

Attachments

Back
Top Bottom