Uzi wa Hip Hop

Uzi wa Hip Hop

Uvumilivu subira,
Vimeisha poteza dira
Maana ngawila,
Haipati kwa uchache huu wa ajira,
Ninachotaka nishinde,
Na wala sio nifunge,
Au nitoke bila bila...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Would you feel lost without me /
Coz honestly I think the world is better off without me/

Sent using unknown device
 
Nikiwa bar yule mupe yule muluke/
Nyie matozi mmepandisha bei ndala nyeupe/

Sent using unknown device
 
Sasa nimeamua kukalisha ngamia bila dua/
Mademu wanataka pesa sio bamia wala mua/

Sent using unknown device
 
Ukinitafuta nipo mbezi beach upepo unapo vuma/
Ukija utakuta mlango uko wazi we si_kumaa/

Young_Killer_True_boya
 
Hawaogopi hata kusema hukumu imekaribia/Na waimbaji wa dini hata wao pia/
Wanatunzwa na wanaotengeneza bia/
Wanachangwanya na wanaofagilia maovu na starehe za kupita ya hii dunia/

Kwa ukimwa wanakufa masikini/wakiondoka viongozi ni shinikizo la damu/tukidai haki zetu wanasema ni utovu wa nidhamu...

Joh Makini - Hao
 
Back
Top Bottom