Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Kuna ile ya French Montana ya shot caller
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha aisee kumbe inakukuna inogileSio mtu wa kuanua mi nautuliza/
Mami nishaamua amua kumaliza/
Mchanga mweupe chini ya maji kabla ya kiza/
Moyo mashine ila mapenzi yanaumiza/
Tufunge huu mjadala nipate kulala nipenzi nipendo tu mengine walaaa/
Chapa kazi ule vitamu sema inshallah/
Kitambaa cheupe mtoto soma ishara/
Kitanda kisizae haramu ikawa msala/
Kitandani nipe nyama ya ulimi baada ya sala...
Usikae mbele ntaisi nyuma joto/Njoo muone Xxx,Nyumba inabomolewa uku.
Sihitaji marafiki labda baadae akitokea..//Haijalishi uko na ngapi, ila wangapi uko nao
Fid Q - Sihitaji marafiki
i born to live and born to rapKama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop
Naanza mimi
Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
Hatujuani kwa sababu tunatengana/
Dunia ni pana walimwengu hawana mana.
Karibuni wakuu ikipatikana na picha yeyote itapendeza zaidi ili kunogesha uzi.
Asanteni
Call the cops when you see TupacFirst off, **** your bitch and the click you claim
Westside when we ride come equipped with game
You claim to be a player but I fucked your wife
We bust on Bad Boy niggaz fucked for life
Ugomvi wa mtaani mpaka mawe yanahusika/Ukijikuna TAKO usijikate kucha kwa MENO.
Fid-Q
#Muungwana_John
Grab ya glocks, when you see Tupac...