Uzi wa Hip Hop

Uzi wa Hip Hop

Sio mtu wa kuanua mi nautuliza/
Mami nishaamua amua kumaliza/
Mchanga mweupe chini ya maji kabla ya kiza/
Moyo mashine ila mapenzi yanaumiza/
Tufunge huu mjadala nipate kulala nipenzi nipendo tu mengine walaaa/
Chapa kazi ule vitamu sema inshallah/
Kitambaa cheupe mtoto soma ishara/
Kitanda kisizae haramu ikawa msala/
Kitandani nipe nyama ya ulimi baada ya sala...
Hahahaha aisee kumbe inakukuna inogile
 
I was the first thing that you opened your eyes to/
The last one that you said goodnight too/
And I bawled my eyes out and watch you/


Sent using unknown device
 
Haijalishi uko na ngapi, ila wangapi uko nao

Fid Q - Sihitaji marafiki
Sihitaji marafiki labda baadae akitokea..//
Awe mmoja tu na mwengine wa kumuongelea..//
#Fid Q-Sihitaji marafiki.
 
Kama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop

Naanza mimi

Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
Hatujuani kwa sababu tunatengana/
Dunia ni pana walimwengu hawana mana.

Karibuni wakuu ikipatikana na picha yeyote itapendeza zaidi ili kunogesha uzi.

Asanteni
i born to live and born to rap
 
Ukistuka kuona kichuguu, utazimia ukiuona mlima
 
Anae kuchukia ni lazima atakutia hila/

ila anaekusifia nia ni kukupunguzia hasira/

So cheza na hao wawili vyema/

ki clever kiakili tena/

Mkakati safi ndindindi clasaic ki ji-dena/



Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom