Uzi wa Hip Hop

Uzi wa Hip Hop

Time hii nikicheki naona muda umesambaa, Jf hip hop Uzi machizi wametapakaa
Sina kinyaa nawatepwekesha, Mc mbovu hujui kuvaa mistari inakurembesha
Haina haja ya kuharibu kaa mbali mama mdogo, unaleta ufirauni nigga nakupa kisogo
Mashauzi ya kutia ndimu wakati unashindia mihogo
Vuka border nipo stimu uone nnavyokuwa mbogo

Wanalianzisha halafu hawawezi kulimaliza, hata utoke nduki mpaka Mbagala nakukimbiza,
Hatutaki ushilawadu, mapafu ya mbwa kwenye vina nina ugwadu
Leta makeke nikung'ate kama ngadu
R.I.P brother Ruge walikulilia mpaka Tandale, Kwa yule jamaa Manager wake Babu Tale
Sina uhuni wa Kitale, ila ni msela ambaye hatare
CCM hainuki wanasema mavi ya kale...R.I.P
Itawajia kama ilivyomjia Pepe Kale......Usiniulize!
 
Umezoeshwa vibaya ndo hujiwezi mmh..//
Unamskiliza jamaa ako na very true..//
Nawashika bila kuwavalia navy blue..//
Malaika anani show umeweka mapenzi juu..//

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time hii nikicheki naona muda umesambaa, Jf hip hop Uzi machizi wametapakaa
Sina kinyaa nawatepwekesha, Mc mbovu hujui kuvaa mistari inakurembesha
Haina haja ya kuharibu kaa mbali mama mdogo, unaleta ufirauni nigga nakupa kisogo
Mashauzi ya kutia ndimu wakati unashindia mihogo
Vuka border nipo stimu uone nnavyokuwa mbogo

Wanalianzisha halafu hawawezi kulimaliza, hata utoke nduki mpaka Mbagala nakukimbiza,
Hatutaki ushilawadu, mapafu ya mbwa kwenye vina nina ugwadu
Leta makeke nikung'ate kama ngadu
R.I.P brother Ruge walikulilia mpaka Tandale, Kwa yule jamaa Manager wake Babu Tale
Sina uhuni wa Kitale, ila ni msela ambaye hatare
CCM hainuki wanasema mavi ya kale...R.I.P
Itawajia kama ilivyomjia Pepe Kale......Usiniulize!
kwa hivyo vina vya ku-edit, n'a bado unasumbua/
mimi nabii na-predict, hauwezi kutusua/
 
Kama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop

Naanza mimi

Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
Hatujuani kwa sababu tunatengana/
Dunia ni pana walimwengu hawana mana.

Karibuni wakuu ikipatikana na picha yeyote itapendeza zaidi ili kunogesha uzi.

Asanteni
"Na mpango wa kuuza albam, kama ice cream za azam
Wakigusa tu wana nasa sababu mzigo mtamu"

"MC namba one, mfalme wa mitaani,
Ma Mc nawapiga vichwa kma zidane,
Nawapa vi2 hamjafundishwa darasani,
Natema madini ka mgodi wa mererani"

"Na style za kininja, kuliko ata za judo
Kwenye Game naleta impact, kuliko ata Akudo"

RIP LANGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hivyo vina vya ku-edit, n'a bado unasumbua/
mimi nabii na-predict, hauwezi kutusua/
Wanasuburi kujiachia wakati sipo, Flow zinajiachia bila ushuru hazikatwi kwa max malipo
Tizama na naleta ukafiri,
kwa yangu mistari
nnayochora bila hata ya kufikiri na sikustiri
Kuwa makini yoh babu, kichwani sipo dry na si gongi ulabu

Kwa hii time nnayoandika
Na ujumbe kwako utafika, sina haja ya ku' edit vina kwangu ni kama stika
Na vimeganda
Rest in hell kwa unaye ni diss
Nakutafuna hadi mifupa nna roho kama ya fisi,
Umevuka border unataka shari stimu zangu like thisss

Kaa mbali nami bwana mdogo,
harakati zangu siku nne hukati gogo,
mi ndo doctor njoo nikutibu dogo usijetoa ndogo,
Mabasha kila kona hold on punguza mikogo,
Ukiendekeza utakula mihogo na utakalia vigogo

Ukweli unawatia homa
Nikitema cheche hawaniskizi
wanajifanya wana usingizi unaokoroma
Hawakujua kwamba mimi ndo yule mteule Kuntu
Hii window haichafuki niite iMAC au Ubuntu
Wanasema nipute mchanga kitambo nilishathubutu

Usipoielewa
Sizi, varangati lake kubwa kama umekabwa na jinamizi
So plizi
Mamluki wanan'diss kwa swagga za weezy, Hii ni round two
Kwenye hii game huwa nachelewa kupizi
 
Yeah!
Jitu la kale kwenye mizani, minong'ono inaskika kwenye fani kamuita nani
Wana scream
Eti tumemuona nyani, kumbe picha ya Sizonje imebandikwa ukutani

Fanani na hadhiiira
Kati
Nyomi kibao nawaangusha hawagusi hata langu shati,
Michezo ya Amber Rutty wanaipa promo, michezo ya ukuti inafundisha yaliyomo
Sina haja ya u' star
Jf inanifaa
Wengi wanadatika wanasema Mzigua ni kifaaa
Mi sijui...
 
Mashairi yangu yanakimbia kama Juma Ikangaa/Kuleni mshobo mnene nyinyi wote wangaa
 
Mona Lisa to me ain't nothin but a bitch/hanging pictures like niggas swinging from his d**k

What's free (Rick Ross's verse)
 
To appreciate the sun,you gotta know what rain is..
 
Back
Top Bottom