maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
- #141
mathematrixMshukuru MUNGU kwa Uwepo
upeo, Cheo Usipokuwepo KESHO
Basis Furahia Uwepo Wako LEO...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mathematrixMshukuru MUNGU kwa Uwepo
upeo, Cheo Usipokuwepo KESHO
Basis Furahia Uwepo Wako LEO...
Sent using Jamii Forums mobile app
hisia za moyoniiImani ni bora kuliko dini
hisia za moyoniiImani ni bora kuliko dini
wauaji wanahoji nna roho ngapi/wakiniua sifi mi nnachojua nna roho safi"Upendo mwingi unakuja omukisha kufa wanakuletea maua wanajua huwezi kuyanusa" SONGA(UMIZA NDONGA)
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hivyo vina vya ku-edit, n'a bado unasumbua/Time hii nikicheki naona muda umesambaa, Jf hip hop Uzi machizi wametapakaa
Sina kinyaa nawatepwekesha, Mc mbovu hujui kuvaa mistari inakurembesha
Haina haja ya kuharibu kaa mbali mama mdogo, unaleta ufirauni nigga nakupa kisogo
Mashauzi ya kutia ndimu wakati unashindia mihogo
Vuka border nipo stimu uone nnavyokuwa mbogo
Wanalianzisha halafu hawawezi kulimaliza, hata utoke nduki mpaka Mbagala nakukimbiza,
Hatutaki ushilawadu, mapafu ya mbwa kwenye vina nina ugwadu
Leta makeke nikung'ate kama ngadu
R.I.P brother Ruge walikulilia mpaka Tandale, Kwa yule jamaa Manager wake Babu Tale
Sina uhuni wa Kitale, ila ni msela ambaye hatare
CCM hainuki wanasema mavi ya kale...R.I.P
Itawajia kama ilivyomjia Pepe Kale......Usiniulize!
ndio yule mkaa kimya afu naponzwa n'a ulimi
naskia mkiongea naamua kukaa kimya naona far ka twiga nyashinskyUmezoeshwa vibaya ndo Lhujiwezi mmh..//
Unamskiliza jamaa ako na very true..//
Nawashika bila kuwavalia navy blue..//
Malaika anani show umeweka mapenzi juu..//
Sent using Jamii Forums mobile app
"Na mpango wa kuuza albam, kama ice cream za azamKama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop
Naanza mimi
Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
Hatujuani kwa sababu tunatengana/
Dunia ni pana walimwengu hawana mana.
Karibuni wakuu ikipatikana na picha yeyote itapendeza zaidi ili kunogesha uzi.
Asanteni
Wanasuburi kujiachia wakati sipo, Flow zinajiachia bila ushuru hazikatwi kwa max malipokwa hivyo vina vya ku-edit, n'a bado unasumbua/
mimi nabii na-predict, hauwezi kutusua/
Hahahahahah... Umetisha.