Unaishi mwenyewe ina maana bibi yako hakukuachia zawadi ya fisi mmoja wa kuishi nae???Hapana sina mke naish mwenyewe
Kuishi mwenyewe ndo nini???.....Kaombe fisi mmoja uishi nae mkuuHapana wale fis alikabiziwa dada yetu mkubwa
Hahaha hahah nilijua tu lazima akumbushiwe maurithi ya mafisi. Yaani huu uzi bila "fisi" usingeenda fresh.Unaishi mwenyewe ina maana bibi yako hakukuachia zawadi ya fisi wa kuishi nae???
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahah nilijua tu lazima akumbushiwe maurithi ya mafisi. Yaani huu uzi bila "fisi" usingeenda fresh.