niliamua kujiunga humu kutokana mada mbalimbali zinazozungumziwa za kimaisha zinazohusu uchumi,afya,jamii,elimu,mahusiano,kisiasa japo sipendi sana maswala ya siasa ila huwa napenda kujua tu updates,na maswala mengine ya muhimu,yamenifanya nijiunge humu ndani.
actually Jf imeniburudisha,imenielimisha,imenijenga pia kimtazamo na fikra,na pia inazidi kunipanua zaidi kiakili kutokana na ideas nazokutana nazo humu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.