Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #41
nelly poul,
Umeisaidia nini jamii forum had leo hii
Umeisaidia nini jamii forum had leo hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeisaidia nini jamii forum had leo hii
Oyooooo! mimi sio kichaa bwana, kuwa na staha kwa wakubwa wakoAisee! Ngoja na mini niji-intavyuu... Naanza:- Hallo Dragoon Mambo vp kichaa wangu?
Akuu sitaki kutwangwaNaomba kwanza mimi nikutwange swali
Hahaaa wacha nkanywe zangu balimi nipate usingzAcha kushangaa wewe jiitanvyuu mwenyewe au chagua mtu wa kumuitanvyuu
Sawa mwana. Sasa tuanze hivi, una umri gani mwanagu?Oyooooo! mimi sio kichaa bwana, kuwa na staha kwa wakubwa wako
Kwanza mini sio mwanao. halafu mambo ya umri wangu hayakuhusuSawa mwana. Sasa tuanze hivi, una umri gani mwanagu?
Mbona unakuwa mkali, hili ni jukwaa huru. kama shemeji kakutosa usinikasirikie mimiKwanza mini sio mwanao. halafu mambo ya umri wangu hayakuhusu
Unavuta bangi nini? kwanza sijakuitaMbona unakuwa mkali, hili ni jukwaa huru. kama shemeji kakutosa usinikasirikie mimi
ndumu natumia mini wewe haikuhusu, tena achana na mini nisije nikakutukana nikapigwa ban bureUnavuta bangi nini? kwanza sijakuita
Nguruwe wewendumu natumia mini wewe haikuhusu, tena achana na mini nisije nikakutukana nikapigwa ban bure