Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbuka hii maneno ya kule Geita aiseeee...... [emoji23] [emoji23]Unaishi mwenyewe ina maana bibi yako hakukuachia zawadi ya fisi mmoja wa kuishi nae???
Asante mwenza kwa kunikumbusha.. wacha nilale!! hakikisha unamshushia net eeh[emoji23] [emoji23] utakuwa wewe ndo umechanganya ratiba leo ni zamu yangu
Duh na kweli. ila utaonekana chizi sasaUnajiuliza swali kisha unajicomment mwenyewe kwenye swali lako
Potelea mbaliDuh na kweli. ila utaonekana chizi sasa
Nilipiga dili la 10M kwa siku moja. Sitalisema hapa maana yalikuwa magendoUshawah kupiga dili gan ambalo lilikuingizia mkwanja mrefu kwa mda mfupi
Huo muda unaocomment hapa ungekuwa unafanya kitu chamaana au si bora ungelala tuPotelea mbali
Potelea mbaliHuo muda unaocomment hapa ungekuwa unafanya kitu chamaana au si bora ungelala tu
Acha mambo yako kwamba mimi sijui wajibu wangu ama..?Asante mwenza kwa kunikumbusha.. wacha nilale!! hakikisha unamshushia net eeh
Nakukumbusha jamani mwenza...Acha mambo yako kwamba mimi sijui wajibu wangu ama..?
[emoji13] [emoji13] pambana na hali yako...utuache tulaleeNakukumbusha jamani mwenza...
Ngumu kumesa yu know..[emoji13] [emoji13] pambana na hali yako...utuache tulalee
Haha ndo imeshakuwa sasa haina namnaNgumu kumesa yu know..