Uzi wa kila mtu kumuintavyuu mtu na kujiitavyuuu mwenyewe

Uzi wa kila mtu kumuintavyuu mtu na kujiitavyuuu mwenyewe

Siwezi kuwa taahira namna hiyo.

We nahisi fisi wanakuchanganya, hizo akili zako inabidi ufanye uchunguzi maana inawezekana kuna mchawi mwenzio anakuchezea akili.
Hahaaaaaa mkuu utanivunja mbavu huku

Kwahiyo kujiitantavyuuu ni utahira

Bas kaa mkao wa kula nataka nikuintavyuuu
 
Kweli faru kanyoosha nchi au ni albadiri zimemewakuta unajifanyia interview mwenyewe hakika hii ni kiboko....
 
Back
Top Bottom