Uzi wa kila mtu kumuintavyuu mtu na kujiitavyuuu mwenyewe

Nzuri Kabisa.. Bwn Majan Kwanza Kabisa kwanini ukajiita Majan
Haha ilo jina sijajipa mkuu nimepewa nawanafunzi wenzangu kipindi nipo Darasa lapili kuna siku nilishindwa kusoma Neno JAMAN minikawa nasoma MAJAN nilitudia karibu Mara 4 bado nilikua nasoma MAJAN cjui nilikula maharage yawapi cku ile
 
Hahaa sio Kwamba ulianza kupiga Majan na udogo?
 
Back
Top Bottom