Uzi wa kila mtu kumuintavyuu mtu na kujiitavyuuu mwenyewe

Uzi wa kila mtu kumuintavyuu mtu na kujiitavyuuu mwenyewe

Poa sana mkuu. Kwa nini uliamua kutumia King Shaat na sio jina lingine huku JF?
Hilo jina ni jina m'badala (alias) tangu 2006 mkuu. So limekuwa sehemu ya utambulisho wangu tangu siku nyingi. Natumaini nimekujibu.
 
Back
Top Bottom