Uzi wa kila mtu kumuintavyuu mtu na kujiitavyuuu mwenyewe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miaka yngu ya nn unataka uikule kama chipsy mayai loo niache babu weeeee
Hapana nataka nijue tu maana unaonekana bado uko under 20
 
Mambo Demiss mtoto mzuri
Poah poahh nambie nipo fulesh kabisaa
😳 😳 😳
IMG_20180321_154321_333.jpg
 
Hivi kwann ulijiita Cha mdeko
Lol mm kwa kudeka sijamboo ndugu yangu napenda kubembelezwaaa balaaa ndo maana napenda kudekaaaaa

Loooh uniache bhn na maswali yako usinikaushe uzaz hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]una utan sana shost
 
😳 😳 😳 Hebu njoo chumbani maramoja
 
Lol mm kwa kudeka sijamboo ndugu yangu napenda kubembelezwaaa balaaa ndo maana napenda kudekaaaaa

Loooh uniache bhn na maswali yako usinikaushe uzaz hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]una utan sana shost
Dah nilikuwa sijafuatilia muktadha wa mada
 
Back
Top Bottom