Uzi wa kuambiana ukweli na kuubali ukweli unaoambiwa

Daaah huu ukweli umeniuma sema ntafanyaje sasa[emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti lol [emoji23][emoji23]
Nshabadilisha lakini Asigwa[emoji6][emoji6]


Bora picha ya mwanzo ali ku follow, hii uliyowela sasa hivi atakuanzishia uzi kabisaaaa
 
Ila kweli ngoja nishike tunguri nije pm
 
Naombea nisiwe na Mimi nipo![emoji115] [emoji30] [emoji30]
Aiseeee acha tu nakwambia foleni si mchezoo nilkuwa najiuliza kwann nagombana sana na wanaume kumbe lipm ndo shida nikimaliza kusherehekea birthday yangu nafunga na lipm
 
Bina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…