Uzi wa kuambiana ukweli na kuubali ukweli unaoambiwa

Maneno yako bila picha nitayaamini vipi?
 
Mie nawaambia ukweli wale wote wanaochangia uzi kwa kujuana + mazowea na mleta uzi. Haifai hiyo tuiache.

Maana waeza kuta uzi mzuri ila kisa member hajulikani basi unadoda.

Tuacheni hizo mambo kama tulivyopendana kipindi kile kwa kupeana taarifa na kuhamia kwa jirani basi na hata kwenye nyuzi tupendaneni pia kwani ubaguzi si mzuri.

(Hapa nasemea zile ambazo sio Chai)
 
[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Ban inakuhusu
 
Soma vizur kabla sijampata mchawi nilitongozwa vya kutosha wengine tukashindwana bhn mm napenda mahelaaa
Hapana bhana, kuhusu kupenda hela unadanganye wewe sio mtu na namna hiyo na ndio maana mimi nakukubari, nakumbuka tulifanya tu kiroho safi na huku demand pesa
 
Hapana bhana, kuhusu kupenda hela unadanganye wewe sio mtu na namna hiyo na ndio maana mimi nakukubari, nakumbuka tulifanya tu kiroho safi na huku demand pesa
Nan kama ukweli
 
Hahahha khaaa umeogopa kutumia id yako maana kule tumegombana shetani kabisa wewe kumbe unanikubali hivi mxeeew
 
Hahahha khaaa umeogopa kutumia id yako maana kule tumegombana shetani kabisa wewe kumbe unanikubali hivi mxeeew
Nakukubali sana demiss, hiyo ya kugombana na wewe kwa id nyingine ni weird news kwangu.... i dont have another moniker apart from this one
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…