hahahahaaa kuna dingi mmoja age inachezea 45 tunafanya nae kazi sasa mida wa lunch huwa anautumia kupiga simu wakati huo anaendelea kula, hili dingi bhana linatabia hiyo akiwa anaongea na mwanamke wake lazima atasema "baby karibu kula' " fungua mdomo nikulishe.. Aaaaaammmm". Dingi ananiudhi sana huyu na stori zake za kitoto toto
Hahaha jamani wamekutana na mwanamke wakehahahahaaa kuna dingi mmoja age inachezea 45 tunafanya nae kazi sasa mida wa lunch huwa anautumia kupiga simu wakati huo anaendelea kula, hili dingi bhana linatabia hiyo akiwa anaongea na mwanamke wake lazima atasema "baby karibu kula' " fungua mdomo nikulishe.. Aaaaaammmm". Dingi ananiudhi sana huyu na stori zake za kitoto toto
Hahahahah,halafu ndo wapiga stori sana kwenye kikao halafu akishaona kuna vya mteremko anamwita na demu wake halafu demu anakaa mbali anakuwa anamnunulia beer za masafa ya mbali.Kwa Dar sasa ukute unatoka mikoani huyo anakuwa chambo huku wanachart kwamba msenge akijirengesha demu awe mpole ataamishiwa mezani kwenu unanywesha mshikaji na demu wake na wanaanza kuitana shemeji mwisho wa siku demu hutoki nae atakuahidi siku nyingine kumbe jamaa wanachart watakapokutana baadae,kaa mbali na beer za mzunguko ni mfilisiHizo zipo sana mkuu na beer za hivyo huwa ni za kutiana hasara bora kila mtu asimamie show yake kimpango wake lakini sio kuleta issue za zungusha kuna mabwege zao ndio hizo ikishafika zamu yake hatulii kwenye kiti hahahaha
😂😂😂 bro una eksipiriensi ya kutosha 😂😂😂Hahahahah,halafu ndo wapiga stori sana kwenye kikao halafu akishaona kuna vya mteremko anamwita na demu wake halafu demu anakaa mbali anakuwa anamnunulia beer za masafa ya mbali.Kwa Dar sasa ukute unatoka mikoani huyo anakuwa chambo huku wanachart kwamba msenge akijirengesha demu awe mpole ataamishiwa mezani kwenu unanywesha mshikaji na demu wake na wanaanza kuitana shemeji mwisho wa siku demu hutoki nae atakuahidi siku nyingine kumbe jamaa wanachart watakapokutana baadae,kaa mbali na beer za mzunguko ni mfilisi
Ukiona aibu na jamaa wanapenda kitonga na labda wana madem wewe aagiza LiLusekelo likubwa weka mezani utawaona wanakukimbia na kujiagizia bia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
umeonaee me mwenyewe sipendi mara1000000Mimi sipendi tantalila za ccm jaman na madege yao ova unaweza kuyala...😡..!
hamna shida zitabeba nyama ya mbuziHahahahaaa na bado wanataka kuyaongeza sijui abiria wa kuzijaza watatoka wapi
Yaani ninao uzoefu wa kutosha man!!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] bro una eksipiriensi ya kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅huo sasa ndo tunaita ukatili wa kijinsiaHasa inakera zaidi mno katikati kabisa akisikia unataka kuurusha anakubania pua "baby ile simu utaninunulia kweli"!!
Mimi hujibu ndio halafu ukimaliza kumchakaza unamuuliza ulikuwa "unasemaje"?Anaanza kujiuma uma
"Nikipata pesa nitakununulia"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahh[emoji28][emoji28][emoji28]huo sasa ndo tunaita ukatili wa kijinsia
HaaahH nachefukaumeonaee me mwenyewe sipendi mara1000000
Halafu unakuta ni Mwanaume huyo na ana watoto na nyumba dogo mbili
.
Umependeza kwenye hiyo avatar yako
.