Uzi wa kuandika chochote usichokipenda.

Uzi wa kuandika chochote usichokipenda.

Baby karibu tule haha mi naonaga ni utoto uliopitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaaa kuna dingi mmoja age inachezea 45 tunafanya nae kazi sasa mida wa lunch huwa anautumia kupiga simu wakati huo anaendelea kula, hili dingi bhana linatabia hiyo akiwa anaongea na mwanamke wake lazima atasema "baby karibu kula' " fungua mdomo nikulishe.. Aaaaaammmm". Dingi ananiudhi sana huyu na stori zake za kitoto toto
 
Hahaha jamani wamekutana na mwanamke wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zipo sana mkuu na beer za hivyo huwa ni za kutiana hasara bora kila mtu asimamie show yake kimpango wake lakini sio kuleta issue za zungusha kuna mabwege zao ndio hizo ikishafika zamu yake hatulii kwenye kiti hahahaha
Hahahahah,halafu ndo wapiga stori sana kwenye kikao halafu akishaona kuna vya mteremko anamwita na demu wake halafu demu anakaa mbali anakuwa anamnunulia beer za masafa ya mbali.Kwa Dar sasa ukute unatoka mikoani huyo anakuwa chambo huku wanachart kwamba msenge akijirengesha demu awe mpole ataamishiwa mezani kwenu unanywesha mshikaji na demu wake na wanaanza kuitana shemeji mwisho wa siku demu hutoki nae atakuahidi siku nyingine kumbe jamaa wanachart watakapokutana baadae,kaa mbali na beer za mzunguko ni mfilisi
Ukiona aibu na jamaa wanapenda kitonga na labda wana madem wewe aagiza LiLusekelo likubwa weka mezani utawaona wanakukimbia na kujiagizia bia zao

😂😂😂 bro una eksipiriensi ya kutosha 😂😂😂
 
Mtu mzima anayejitambua halafu anatuma sms kama thanx, K, xaxa, veeepe, xjui, jomoni, aiseee huwa sipendi
 
Back
Top Bottom