Hahahahah,halafu ndo wapiga stori sana kwenye kikao halafu akishaona kuna vya mteremko anamwita na demu wake halafu demu anakaa mbali anakuwa anamnunulia beer za masafa ya mbali.Kwa Dar sasa ukute unatoka mikoani huyo anakuwa chambo huku wanachart kwamba msenge akijirengesha demu awe mpole ataamishiwa mezani kwenu unanywesha mshikaji na demu wake na wanaanza kuitana shemeji mwisho wa siku demu hutoki nae atakuahidi siku nyingine kumbe jamaa wanachart watakapokutana baadae,kaa mbali na beer za mzunguko ni mfilisi
Ukiona aibu na jamaa wanapenda kitonga na labda wana madem wewe aagiza LiLusekelo likubwa weka mezani utawaona wanakukimbia na kujiagizia bia zao
Sent using
Jamii Forums mobile app