Uzi wa kuandika maneno yenye busara kwa kuanzia na "Nimejifunza ya kwamba....."

Nimejifunza kwamba awali ni awali tu hakuna awali mbovu
 
Nimejifunza kwamba maisha ndio haya haya, ukifa unakufa peke yako.

Lesson: Kula maisha ndio mda wake huu. Ukizificha pesa ukifa wahuni wanakusachi mpaka boxer
 
"Nimejifunza ya kuwa,yatosha mtu kuitwa muongo kwa kusema kila anachokisikia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…