Uzi wa kuandika maneno yenye busara kwa kuanzia na "Nimejifunza ya kwamba....."

Mkuu pole sana. Huwa nawashangaa sana watu wanaoona kilimo nikama kukosa kazi za kufanya na wajati kila siku wao wanakula vyakula na kupitia jasho la mkulima.
 
Nimejifunza kwamba. "Usiumie kwa wale wanaokuacha/kukudhihaki katika mambo yako, tumia maumivu kupata mafanikio yatakayokuonyesha wewe ni nani.

Cc: miminimkulimaakachekasana
 
Nimejifunza kwamba usiyadharau maji machafu yanaweza kukusaidia kuzimia moto
 
"Nimejifunza ya kwamba,tajiri ni yule anayemiliki afya njema na akaridhika kwa kile anachokipata"
 
Nimejifunza ya Kwamba Si kila anayesema msema kweli mpenzi wa Mungu ni Mpenzi wa Mungu kweli.Na mnyonge ni mtu wa wanyonge ....wanyonge wanaona unyonge sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…