Uzi wa kuandika maneno yenye busara kwa kuanzia na "Nimejifunza ya kwamba....."

"Nimejifunza ya kwamba anae panda vituu hatavuna nyanya"
 
Nimejifunza kwamba maisha ya kudanga mwisho wake huwa magumu sana
 
Naomba uniambie asili ya jina lako.

Username
nilizingua form six necta,demu wangu akafaulu baada ya kwenda chuo akaanza kuniletea dharau
baada ya kumwambia nimeamua kufanya kilimo.
akaanza hizo dhar(L)au na nilikuwa nikimsikia
akichekasana(pamoja na rafiki zake) akiwa kwenye simu kwakuwa miminimkulima.
kwa hii username huwaga inanipa nguvu ya kitafuta zaidi

nahisi umenielewa
 
Nimekuelewa na nimependa origin ya hii username.

Nimescreenshot hili jibu chief nataka niendelee kukumbuka.
 
Nimejifunza ya kwamba JIWE ni kiongozi mbovu zaidi kuwahi kutokea katika taifa hili.
 
Back
Top Bottom