Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Wakuu uzi huu ni kwa wale ambao wanatamani kubadilisha kituo cha kazi.hivyo kama unataka kwenda dodoma au mkoa mwingine na upo mkoa mwingine labda iringa na kuna mtu yuko dodoma anataka kwenda iringa basi uzi huu utawakutanisha.
Mfano utasema.
Mimi ni technician mkoa wa dodoma natafuta mtu wa iringa wa kubadilishana kituo
Mfano utasema.
Mimi ni technician mkoa wa dodoma natafuta mtu wa iringa wa kubadilishana kituo