Uzi wa kuchati Kilugha

Status
Not open for further replies.
Unajua tunakoelekea ni kuwa hizi lugha zetu za asili zitakwisha kwa jinsi tunavyochanganyika,mf.mchaga kaoa mbondei,mbondei kaoa mwela,mwela kaolewa na mnyakyusa mwisho wa siku nchi nzima lugha itakuwa ni Kiswahili tu...
Kuoana watu wa makabila tofauti naona Kama Ni fursa ya kujua lugha nyingine,nje na lugha yako ...watu wanashindwa kutumia tu hizi fursa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…