Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kuoana watu wa makabila tofauti naona Kama Ni fursa ya kujua lugha nyingine,nje na lugha yako ...watu wanashindwa kutumia tu hizi fursaUnajua tunakoelekea ni kuwa hizi lugha zetu za asili zitakwisha kwa jinsi tunavyochanganyika,mf.mchaga kaoa mbondei,mbondei kaoa mwela,mwela kaolewa na mnyakyusa mwisho wa siku nchi nzima lugha itakuwa ni Kiswahili tu...