Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ni vizuri kama marafiki tuwe tunakaribishana katika kupata chai,mlo wa mchana,mlo wa jioni na mlo wa usiku.Tunaamini mada zingine huwa zinakuja baada ya kushiba....Mwana jf popote pale ulipo tukaribishe kwa aina ya chakula unachokula na pia 'location' kama inawezekana. Naanza kwa kuwakaribisha karibuni tupate nyama ya mbuzi, maeneo ya morombo......