Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkienda FIFA mtashindwaMasikitiko hayo veepeee jirani.
[emoji1787] Mpaka sasa kalikoroga yule mtoto wacha tumnyweshe. [emoji1787]
Unasema unanipenda then unanicheka? Njoo room kwanza!!Merry Christmas to you too love❤️❤️
Nakupenda😂😂😂
Heri ya sikukuu nawe pia mkuu.Brother brother heri yasikukuu.
Nasubiri mwongozo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Heri ya sikukuu nawe pia mkuu.
Huwezi amini sina muongozo wowote mkuu, vipi nikusikilize dogo?
Tupo hapaHeri ya sikukuu nawe pia mkuu.
Huwezi amini sina muongozo wowote mkuu, vipi nikusikilize dogo?
Basi ngoja tusikilizie wote mzee!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Dah...
Tunasubiri mwaka mpya
Yes yap. Bibi huyu akimaliza kupika atakuja hapa kupokea salam zake.Basi ngoja tusikilizie wote mzee!!
Enjoy japo leo kidogo, nimeona umeshamuita financial services apike pilau[emoji1787][emoji1787]
Hii imekaa vizuri sana mkuu!!Tupo hapa View attachment 2457794
Sijakucheka mpenzi, nimefurahi🤗Unasema unanipenda then unanicheka? Njoo room kwanza!!
Peace brother.
Asante sana mkuu wangu.. Nipo hapa nakula kitimoto badae niingie sinza kusaka utelezi
Miss you, jana mbona ulinikimbiaSijakucheka mpenzi, nimefurahi🤗
Jamani jamani!! Mbona nasingiziwa!! Wewe ndio ulikimbia.Miss you, jana mbona ulinikimbia
Hahah katuwakilishe kwny utelezi mkuu.Asante sana mkuu wangu.. Nipo hapa nakula kitimoto badae niingie sinza kusaka utelezi
mie tenaaa.. niliombwaa kwa ajiri ya hizo kaziHahah katuwakilishe kwny utelezi mkuu.
Duh nikisema niwa mention watu wangu wa nguvu wote nitachoka ku type. All in all, wana JamiiForums wote nawapenda sana. Sana.
Tusiache kuombeana jamani, majaribu ni mengi, mitego tunayotegewa ni mingi, bila msaada wa Mungu hatutoboi