Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Babu mimi nawatakia Pasaka njema wajukuu zangu wote katika jukwaa hili. Woooote.... yaani hata kwa wale mashabiki wa Yanga...

Heri ya Pasaka ya pekee iende kwa mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa hiari na wa kudumu Sakayo

Kristo amefufuka kwelikweli, Haleluya!
 
Ahsante JJ
Upendo wetu na udumuuu. Keep blessing us
 
Asante iceman

Uwe na pasaka njema pia
 
Thanks bro

Happy Easter
 


Asante Sana Iceman 3D
Unakubalika pia, one of the Finest in here..

Pasaka Njema kwako pia!
 
Ndugu angu nilikua nimeandaa uzi ulioshiba hasa kuhusu hio kitu na some details kuhusu mada yako ya biblia. Nilipo i launche ile thread ikapelekwa jukwaa la dini na kuzawadiwa BAN ya wiki mpaka j5
Ila hamna shida till we are together..
L. Dav...
Duuuuh kumbe ulikuwa umeandaa Easter package ya nguvu namna hiyo..... Sio mbaya though siku uufufue upya JF intelligence watu tuongeze maarifa setback chache zisiue spirit yako ya kutuelimisha humu jukwaani

Stay blessed
 


Happy Easter to you and yours Mr. Miller!

Thaanks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…