Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Happy Easter mkuu....tupo pamoja...SALA NA KAZI
Otorong'ong'o
jiwe la majiwe
Kitaja
Popote mlipo salamu zangu ziwafikie nimemiss ule mjadala wetu kuhusu historia ya krismasi ulifika page zaidi ya mia miss u guys Mungu awabariki huko mlipo
[emoji8][emoji8][emoji8] asante my husbandMy only sweetheart cute b
Tunakupenda pia Shunie wetu.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Baba P asante na kwenu pia we na Mama P nawapenda sana
Mimi , Mume wangu sumbai na mtoto wetu P ambaye ni zao la Jf tunawatakia pasaka njema ( kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo)
Wakati Yesu anafufuka akafufuke, na Afya zenu zilizozikwa na wachawi, Mali (mafanikio yenu) , vizazi na baraka zote. Amen.
Sakayo
Shunie
Madame S na B wake
espy
dark angel
usser
Madame B
Na wengine wote.
Msisahau kukaribia nyumbani pia.
RC kwani humu hayumo?Nimpendaye hayumo humu kusoma
Ila hata ndugu na jamaa na marafiki hewa wa humu kuwakumbuka sio mbaya.. salamu ziwafikie
chuma cha mjerumani
Nyani Ngabu
Walioko huko hewani..
Ujumbe ni..
Kumbukeni humu ni burudani.. kusukuma dakika mtu unapoingia.. salamu pia kwa familia zao.. msinune nune.. msidisi.. eeeeh
duuuh yaan umenikumbuk page ya mbal hiv kwel hunipend
daah meumia hata wew umenikumbuka page za mbali hiviukhuty [emoji4][emoji4][emoji4]
dada wakiTanga mpole mpole
Asante sana, itabidi nije aseee [emoji4][emoji4][emoji4]Asante sana. Karibu tujumuike wote kuila Pasaka nyumbani kwangu
Amen, nakupenda piaNakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana
Nawe pia mkuu..mimi na jj tunakutakia sikukuu njemaNa penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.
Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
usiumie tafadhali, nilikukukumbuka sana, kuandika ID yako ilikua mtihani.daah meumia hata wew umenikumbuka page za mbali hivi
Asante sana babeNa kwako pia Miller [emoji8]
[emoji134][emoji134][emoji30][emoji30]Siku nyingi.
mmh! sawa tuMimi ex boo wake shemeji.