Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Na penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao

Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat

Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.

Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
Asante iceman


Sijui milango ulifunga kweli???
 
asante sana Comrade"" asante mnooo kwa haya maneno mujarabu"" Mungu ajaalie malengo yako/Yetu yaweze kutimia pasipo uwepo wa vikwazo "" ......salute boss
Yaan mods wanapenda tujadili mapenz tu yaani nilishangA naona eti banned
 
Pasaka njema member wote Wa JF. Bila kumsahau Miss Natafuta,popote alipo namtafuta ili nimtakie Pasaka njema.
 
Nimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.

Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.

Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana


Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser

Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat

Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan

Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Senkyu malkia wa ulozi,nifikishie salamu zangu kwa ubavu wako,mwambie nimemmis sijamuona siku nyingi
 
Back
Top Bottom