Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Ewaaa jeupe lete mi sio mbaguzi nimekalilishwa kichwani mwangu white kuwa ndo mpango mzimahhhhaaaaaa huna maana mbaguzi sana unaogopa giza basi ogopa na usiku
basi nakuletea jeupeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaa jeupe lete mi sio mbaguzi nimekalilishwa kichwani mwangu white kuwa ndo mpango mzimahhhhaaaaaa huna maana mbaguzi sana unaogopa giza basi ogopa na usiku
basi nakuletea jeupeeee
nani alikukaririsha?Ewaaa jeupe lete mi sio mbaguzi nimekalilishwa kichwani mwangu white kuwa ndo mpango mzima
haya banaHahah!! Nakupenda sana ndugu yangu sema basi tu nilipitiwa ila nimekukumbuka
Mkuu billie kwahyo wewe unahisi mimi ni KE?Mkuu kwa nini watu wanahisi wewe ni Me
In short videmu vyangu vyote vilikuwa vyeupe mpaka leo huyu mama Chiku nae ni mweupe pianani alikukaririsha?
No kuna jamaa alikuhisi hivyo kwenye comment yake sorry lakiniMkuu billie kwahyo wewe unahisi mimi ni KE?
Acha kudeka weyePasaka njema kwa Mom angu kipenzi.
Le shem pilau kwako leo ndizi tayar nnazo ha ha haaaNimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Pasaka njema.Asante mama P.
Sikukuu njema wewe na familia yako.
Uliona utani?Huu uzi umenishinda Duh!
Usikonde mzee sema kuna bahadhi bado wananichanganya hawajui kua mm ni MeNo kuna jamaa alikuhisi hivyo kwenye comment yake sorry lakini
Jina lilivyo kaa limeanza na Da... may ndiyo sababu [emoji41] [emoji41] [emoji41]Usikonde mzee sema kuna bahadhi bado wananichanganya hawajui kua mm ni Me
Khofu yako nini mpaka wafute?Nilikuwa natest mitambo ngoja niombe mods waufute
Kwahiyo member kama DA HUSTLA Da vincci Davcool Dave david7 na wengine kibao wanapatwa na hii shida?Jina lilivyo kaa limeanza na Da... may ndiyo sababu [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Off coz mi nimejaribu kubashili tu sababu mkuu tupo pamojaKwahiyo member kama DA HUSTLA Da vincci Davcool Dave david7 na wengine kibao wanapatwa na hii shida?
Sema ni swala la muda tu mkuu wataelewa
No mi najua kuwa wewe ni me mkuu nimeuliza vibayaMkuu billie kwahyo wewe unahisi mimi ni KE?