Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Mimi , Mume wangu sumbai na mtoto wetu P ambaye ni zao la Jf tunawatakia pasaka njema ( kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo)
Wakati Yesu anafufuka akafufuke, na Afya zenu zilizozikwa na wachawi, Mali (mafanikio yenu) , vizazi na baraka zote. Amen.
Sakayo
Shunie
Madame S na B wake
espy
dark angel
usser
Madame B
Na wengine wote.
Msisahau kukaribia nyumbani pia.
Asante sana mama p na iwe njema na kwenu pia
 
Nimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.

Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.

Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana


Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser

Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat

Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan

Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Asante sana mdogo wangu [emoji8][emoji8][emoji8] na kwenu pia we na mr wako
 
Back
Top Bottom