Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua anapika kishamaliza mzee soon utamuona humuAsee Shunie ashapika?
Ndugu yangu Demie mbona hatualikaniKaribuuu shemu wanguView attachment 731346
HaaaAlikua anapika kishamaliza mzee soon utamuona humu
Usijari ndugu muda wa kula bado sisi asubuhi chai yetu haikua kibamia kwahiyo matumbo bado yana chochote kituHaaa
Braza mbona hamja niita nije kula
Ahsante sana mkuu....Hahah!! Shukrani sana ndugu yangu nafurahi kupata wish yako
Nakuheshimu sana kaka
Basi usijali naanza kuja mwenyewe huko taratibuUsijari ndugu muda wa kula bado sisi asubuhi chai yetu haikua kibamia kwahiyo matumbo bado yana chochote kitu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usijari ndugu muda wa kula bado sisi asubuhi chai yetu haikua kibamia kwahiyo matumbo bado yana chochote kitu
Asante sana chief, hakika amefufuka.wakati tunaadhimisha kufufuka kwa messiah, niungane na ndugu zangu hawa kuwatakia pasaka/pasika njema na hakika bwana yesu amefufuka.
- Malcom Lumumba
- Prishaz
- Mshana Jr
- Mr Miller
- Nalendwa
- zitto junior
- Sky Eclat
- Pascal Mayalla
- All JF Members
Bila Kusahau Jamii Forum Management. Long live guys na Mungu awabariki.
Usijar karibu sana mzeiyaBasi usijali naanza kuja mwenyewe huko taratibu
Hahah!! Eeh tea ilikua heavy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Chai haikuwa kibamia!! WTF!!
Nipe location nichangamke[emoji39][emoji39][emoji39]Ewaa!
Ahsante nawe pia, karibu kwetu ule kuku
Teh teh