Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Ohiii ha haaa kanifanyia kusudi huyu saa hizi ndo anatoa mualiko itabidi tu iwe gizani.

Pasaka njema kwenu pia

Nimegonga milaiki mingi kweli kwa jamaa ili anione lakini wapii sijui na yeye anatafuta mialiko?

Mualike dark angel basi vile kesha nialika nije nae teh teh
Santee sana.
Karibu sana nyumbani Manga . Angel anakula sana budget yake siiwezi
 
Le shem pilau kwako leo ndizi tayar nnazo ha ha haaa
Karibuuu shemu wangu
IMG_20180324_143615.jpg
 
Babu mimi nawatakia Pasaka njema wajukuu zangu wote katika jukwaa hili. Woooote.... yaani hata kwa wale mashabiki wa Yanga...

Heri ya Pasaka ya pekee iende kwa mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa hiari na wa kudumu Sakayo

Kristo amefufuka kwelikweli, Haleluya!
Hahaha
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Ohiii ha haaa kanifanyia kusudi huyu saa hizi ndo anatoa mualiko itabidi tu iwe gizani.

Pasaka njema kwenu pia

Nimegonga milaiki mingi kweli kwa jamaa ili anione lakini wapii sijui na yeye anatafuta mialiko?

Mualike dark angel basi vile kesha nialika nije nae teh teh
Una uhakika Utaenda?
Haya Mimi sitaki lawama njoo pm.
 
Na penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao

Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat

Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.

Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
Mdogo wangu kipenzi, asante saana na kwako pia!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Na penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao

Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat

Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.

Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
am super humbled[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8]
 
Back
Top Bottom