Asante sana mama p na iwe njema na kwenu piaMimi , Mume wangu sumbai na mtoto wetu P ambaye ni zao la Jf tunawatakia pasaka njema ( kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo)
Wakati Yesu anafufuka akafufuke, na Afya zenu zilizozikwa na wachawi, Mali (mafanikio yenu) , vizazi na baraka zote. Amen.
Sakayo
Shunie
Madame S na B wake
espy
dark angel
usser
Madame B
Na wengine wote.
Msisahau kukaribia nyumbani pia.
[emoji8] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] roho yake dada sakayo shukrani sana
Nyooo[emoji8] [emoji8]
Davet alisema ndio.umemaliza kupika
Nianze kuja kabsa eeh?
Asante sana mdogo wangu [emoji8][emoji8][emoji8] na kwenu pia we na mr wakoNimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka tu kukuza mamboSi ya kifamilia [emoji1]
Wew ndio unayajua
Shukrani hearly ubarikiwe1 Palantir
2 Te Lavista
3 Malcom Lumumba
3 The Boss
4 zitto junior
5 Dreka
6 Numbisa
7 Mzigua90
8 Shunie
9 MJUKUU WA CHIEF
wakuu na watakia"" furaha njema ya pasaka.""...MUNGU ""awajaalie "mafanikio" katika mipango yenu""
Sema kweli
tatizo bahat mdogo wangu [emoji25]Kwenye family yetu umemsahau Dada yetu mmoja hapo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Shukrani sana mkuu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Shunie
The bold
Mshana Jr
Steve mollel
Miss natafuta
Miss chagga
All Jf members wote karibuni hapa Rungwe mpate kitimoto kwa wale wasiotumia huyo mdudu mbuzi yupo
nishapoa mdog wanguPole sana Dada yangu
MhUsikonde mzee sema kuna bahadhi bado wananichanganya hawajui kua mm ni Me
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo member kama DA HUSTLA Da vincci Davcool Dave david7 na wengine kibao wanapatwa na hii shida?
Sema ni swala la muda tu mkuu wataelewa
Asante sana best [emoji8][emoji8] na kwako pia
Kibamia ndio chai gani tenaUsijari ndugu muda wa kula bado sisi asubuhi chai yetu haikua kibamia kwahiyo matumbo bado yana chochote kitu
Sasa shida nn? hahaNyooo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka tu kukuza mambo
Ewaaaaa...nishapoa mdog wangu