Aaah unaharibuuu Mwacheee! Akazamie chumbe kabsaa! Kama wenzie woteAha ha haaaaa! Namwambia ajiandae kimwili na kiakili huenda hajakomaa bado
Usijali.Aaaah
Nadhani nahitaji kuijua hiyo stori
Samahan lakini
Amina mr usser na kwako pia, ila umeniweka sana hapaUlweso
Inna
Shunie
Jakitoo
Jolie Jolie
Agata
Iceman 3D
Davet
Mzigua90
Agata
Saint ivuga
Demis
Na wengine wote pasaka njema
Kwenu
Hahah!! Aisee mkuu umenifurahisha ila nitajitahidi nisifanye kosaWe jipe moyo tu, ukifanya kosa kidogo tu anatafuta Ben10 mwingine
Hahahah!!! Hahah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie jaman mna nifanya nionekane chizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana jamani kwa Davet nimefika kigoma mwisho wa reli kibonge mm ninavyobebwa kijana wa watu hajali uzito wangu wala manyama uzembe yangu ananibeba ananibinua binua nani ataweza kunibeba shunie mm
Mi ntazimalizaAiseeee
Hivi mna nini na mm nikiachika hamu zangu mtanimalizia nyie kama anavyonipa Davet niacheni jamani tena wewe Krait ndio uniache
Mruhusu tu ila nahisi ajiandae kisaikolojia kabisa.Shunie kasema anatamani anifaham acheke..aone nnavyoumia kwa wivu. Mpe ushauri...
Hahah!! Aisee mkuu umenifurahisha ila nitajitahidi nisifanye kosa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woyoooooooooooAiseeee
Hivi mna nini na mm nikiachika hamu zangu mtanimalizia nyie kama anavyonipa Davet niacheni jamani tena wewe Krait ndio uniache
Ameshazamia na me nimezama kabisa mtuwache jamani hivi mnapenda kusikia me ni chizi sababu ya hamu kunizidiaAaah unaharibuuu Mwacheee! Akazamie chumbe kabsaa! Kama wenzie wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuh! Mi msha nivurugia plasaka hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kabisa kuvuruga siku ya leo
But why.????? Nina shida gani mie lakini? Wakunyumba mi napenda kuliko neno mapenzi ila mpaka nipende jamani si jambo dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzigua no nyingine shemeji yangu huyu mpya namsifu aisee ni mvumilivu anavumilia mengi mnooo
Na we upo na mastress na upweke unakesha kwenye huo uziUsijali.
Nitakwambia nikija kule kwenye uzi wa mapopo
Nakumbuka hii kauli yako ilikua usiku mnene sana siku ileNilimwabia i will be watching him
Mimi ni kama CCTV camera awe makini
Man Of The PeopleMOTP
Ndio nn!?
HahahahaUsijali.
Nitakwambia nikija kule kwenye uzi wa mapopo
Nikupe link??Duuh! Mi msha nivurugia plasaka hapa