Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Hapana jamani kwa Davet nimefika kigoma mwisho wa reli kibonge mm ninavyobebwa kijana wa watu hajali uzito wangu wala manyama uzembe yangu ananibeba ananibinua binua nani ataweza kunibeba shunie mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzigua no nyingine shemeji yangu huyu mpya namsifu aisee ni mvumilivu anavumilia mengi mnooo
But why.????? Nina shida gani mie lakini? Wakunyumba mi napenda kuliko neno mapenzi ila mpaka nipende jamani si jambo dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom