Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Aya sawa siwajari sasa embu tutoke humu ndani mara moja tutarudi baadae
 
Hivi Shunie kwa nn unasemaga uzi wangu
Ulikukosea nn?
Hebu leo niambie
Jamani haujanikosea kitu hivi kweli mtu upo sawa utakesha jf usiku wote seriously una mke wako au mbebez wako anakupa kampani utakumbuka kukesha kule yaan kule ni masingle na deep mawazu mnisamehe tu jamani nawapenda nitakuja siku kuwatembelea nikiwa kiwanja nakesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…