Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Na kwako pia mama matunguli tunguliNimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Weeeee. Hujawapata tuu. Mi wakurya na wachaga bwana achaaaMbona wachaga ni bahili mnooo jamani
Mkuu shanie ni nani jamani kama ni shunie na me nakutakia pasaka njema barikiwa mnoooo [emoji8][emoji8]Japo nimechelewa ila shanie pasaka njema
AminaUbarikiwe nashukuru mkuu
Na kwako pia kibumbuShunie,Numbisa,mzigua 90,carp,kichwa kichafu nawatakia pasaka njema
Nimekuelewa. Naomba hela ya sikukuu
Na kwako pia ndugu yangu.Shunie,Numbisa,mzigua 90,carp,kichwa kichafu nawatakia pasaka njema
Woyooooooo baba yeyoooWeka namba kisha subiria sms ya imethibitishwa...
Mmmmh. Wataiba na wengineWeka namba kisha subiria sms ya imethibitishwa...
Na kwako pia sam,uwe na siku njemacarbamazepine tutafutane kesho tukijaaliwa. Acha niendelee na majukumu ya familia kwa sasa.
Furahia pasaka rafiki.
Heri ya Pasaka rafikiAmina
Asantee rafiki [emoji4][emoji4]Heri ya Pasaka rafiki
Pm ipo kwa ajiri gani acha kunitia aibu kungwi wakoMmmmh. Wataiba na wengine
AsanteeeAsantee rafiki [emoji4][emoji4]
heri na wewe [emoji4]
Yes dear, i hope zawadi yangu umeipenda.Asanteee
Hilo tabasam nadhani ndio zawadi ya pasaka eeh
Yaaah! SanteeeYes dear, i hope zawadi yangu umeipenda.
Asantee, usiku mwema pia.Yaaah! Santeee
Uwe na ucku mwema mwaya