Thanks bro namtakia pasaka njema my one and only joanahHabari zenu wakuu?
Kama heading inavyojieleza huu hapa ni uzi special kwajiri ya kumtakia pasaka njema member yeyote umpendaye
Njoo hapa umtaje na umtakie pasaka njema yeyote bila kuogopa
Mimi naanza kwa kuwatakia pasaka njema wafuatao
1.SHUNIE
2.DAVET
3.MZIGUA90
4.DJ SEPETU
5.FAIZA FOXY
Pia nawatakieni wote PASAKA njema
Asanteni sana
Umepata jipya tena? [emoji16][emoji16]Mh acha nikubali tu sasa hapo kwa sakayo ni kweli nn tena jamani
Asante chief,Aiseeeeeh!! Hvyo viimoj hapo kwa mzigua itabidi nikutafute tuongee vizuri..
Shukrani sana mkuu, pasaka njema kwako pia
Nakumiss ujueAmen
asante sana [emoji4][emoji4]Na kwako piaa mkuu[emoji4]
HahahaNavumili tu sasa nitafanyaje?
NdiioKesi tena
Amen dada [emoji4][emoji4]Mr Miller,be blessed kaka,ukuwe na pasaka njema na wewe
HahahaWoooooooozeeeeeerrrr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu msalimie sana
Hahah!! Poa bossAsante chief,
Karibu sana mm nipo humu leo hadi kesho [emoji2][emoji2]
asante
Asante na wewe pia dear...Sakayo
Kichwa kichafu
Hajar
Yna 12
Dada Nahuja
Minah
Dinazarde
Mama sabrina
Mbalizi1
Babu Asprin
Bujibuji
Bila kumsahau Gudume
Mkuwe na pasaka njema wapendwa
Kumbe wa kike?!Amen dada [emoji4][emoji4]
Asante sana mai wanguSalamu zako za pasaka ziwaendee hawa wapendwa wangu,wanaonifanya daily tabasamu lisipungue usoni kwangu....
Demiss na mume wake
Shunie
Mzigua90 na mume wake(celapha nini sijui,nimeshindwa kuandika)
Usser
Iceman 3d
Mwifwa
Jakito(omwana wane)
Ledada(my wangu)
Mr Miller
Joowzey
Jirani yangu Ambiele
Kaka angu Theorymenology(nna shida kwenye spelling)
Pyaar
Hahah!! Mdogo wako ananiburuza sanaHahaha
Unatia huruma aki
[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unanicheka amahahaha
Ahsante sana dearSakayo
Kichwa kichafu
Hajar
Yna 12
Dada Nahuja
Minah
Dinazarde
Mama sabrina
Mbalizi1
Babu Asprin
Bujibuji
Bila kumsahau Gudume
Mkuwe na pasaka njema wapendwa