Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
Asanteee sana omwana wane, ukawe na pasaka njema piaa[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Salamu zako za pasaka ziwaendee hawa wapendwa wangu,wanaonifanya daily tabasamu lisipungue usoni kwangu....
Demiss na mume wake
Shunie
Mzigua90 na mume wake(celapha nini sijui,nimeshindwa kuandika)
Usser
Iceman 3d
Mwifwa
Jakito(omwana wane)
Ledada(my wangu)
Mr Miller
Joowzey
Jirani yangu Ambiele
Kaka angu Theorymenology(nna shida kwenye spelling)
Pyaar