Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Habari zenu wakuu?

Kama heading inavyojieleza huu hapa ni uzi special kwajiri ya kumtakia pasaka njema member yeyote umpendaye

Njoo hapa umtaje na umtakie pasaka njema yeyote bila kuogopa


Mimi naanza kwa kuwatakia pasaka njema wafuatao
1.SHUNIE
2.DAVET
3.MZIGUA90
4.DJ SEPETU
5.FAIZA FOXY

Pia nawatakieni wote PASAKA njema

Asanteni sana
Thanks bro namtakia pasaka njema my one and only joanah
 
Salamu zako za pasaka ziwaendee hawa wapendwa wangu,wanaonifanya daily tabasamu lisipungue usoni kwangu....
Demiss na mume wake
Shunie
Mzigua90 na mume wake(celapha nini sijui,nimeshindwa kuandika)
Usser
Iceman 3d
Mwifwa
Jakito(omwana wane)
Ledada(my wangu)
Mr Miller
Joowzey
Jirani yangu Ambiele
Kaka angu Theorymenology(nna shida kwenye spelling)
Pyaar
Asante sana mai wangu

Pasaka njema pia Yesu afufuke moyoni mwako
 
Back
Top Bottom