Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Najua umenielewa [emoji57][emoji57] sema unataka kuelewa zaidi naiamini kauli ya mwanzo tu[emoji23][emoji23][emoji23] hii kanuni yako sio kabisa itakua inanipa wakati mgumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua umenielewa [emoji57][emoji57] sema unataka kuelewa zaidi naiamini kauli ya mwanzo tu[emoji23][emoji23][emoji23] hii kanuni yako sio kabisa itakua inanipa wakati mgumu sana
Na kwako piaa mkuu[emoji4]My sweet babe mumu [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Mzigua90[emoji9][emoji9][emoji9]
Sakayo
Maserati
Kasie
Neybright
Shunie
emmyta
Demiss
Sky Eclat
jakitoo
Hajar
Numbisa
jje's
Jolie Jolie
Nalendwa
inna
ledada
Mahondah
Iceman 3D
Mwifwa
Davet
Kichwa Kichafu
joseverest
BAK
Vladmirovich putin
hearly
Nokia83
RRONDO
Saint Ivuga
Smart91
Mshana Jr
Daby
Asprin
usser
Wengine ID zenu ngumu kuziandika lkn nawapenda na nawakumbuka maana comment zenu ni burudani tosha.[emoji1][emoji1][emoji1]
Pasaka njema kwa wana JF wote...asanteni kwakunifanya niwe tofauti [emoji4][emoji4][emoji4]
Dada me sijanuna lakini hivi ningenuna si unanijua lakini nilivyoKuna pm ngapi mdogo wangu kipenzi!.
Umesahau tuliambiwa tukiwa sebleni tuwe tunacheka chumbani ndo tukapambane huko?!
Hujanuna ndio ila mmmhDada me sijanuna lakini hivi ningenuna si unanijua lakini nilivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona huko mfyuuuuuuHujanuna ndio ila mmmh
Asante saaaaaana mpendwa wangu,ubarikiweUlweso
Inna
Shunie
Jakitoo
Jolie Jolie
Agata
Iceman 3D
Davet
Mzigua90
Agata
Saint ivuga
Demis
Na wengine wote pasaka njema
Kwenu
Utazoea ba mkwe ndio unakuzwa hivyoMama mkwe tatizo mimi bado mdogo sijazoea kuona mtu anaitwa vizuri hivyo
Kho kho khoAsante saaaaaana mpendwa wangu,ubarikiwe
Nikweli shemuNamtetea Shem wangu, we nakujua ulivyo mkali
Jaman sinimeshakuelezea nini kinaendelea lakini? Istoshe pasaka yenyewe ni kesho kwahiyo muda bado upo tuKwahiyo unaona alichofanya ni sawa na hapo utaniambia ni ukali wangu
Mr Miller,be blessed kaka,ukuwe na pasaka njema na weweMy sweet babe mumu [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Mzigua90[emoji9][emoji9][emoji9]
Sakayo
Maserati
Kasie
Neybright
Shunie
emmyta
Demiss
Sky Eclat
jakitoo
Hajar
Numbisa
jje's
Jolie Jolie
Nalendwa
inna
ledada
Mahondah
Iceman 3D
Mwifwa
Davet
Kichwa Kichafu
joseverest
BAK
Vladmirovich putin
hearly
Nokia83
RRONDO
Saint Ivuga
Smart91
Mshana Jr
Daby
Asprin
usser
Wengine ID zenu ngumu kuziandika lkn nawapenda na nawakumbuka maana comment zenu ni burudani tosha.[emoji1][emoji1][emoji1]
Pasaka njema kwa wana JF wote...asanteni kwakunifanya niwe tofauti [emoji4][emoji4][emoji4]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona huko mfyuuuuuu
Pole shemu...Nikweli shemu
Jaman sinimeshakuelezea nini kinaendelea lakini? Istoshe pasaka yenyewe ni kesho kwahiyo muda bado upo tu
Mh acha nikubali tu sasa hapo kwa sakayo ni kweli nn tena jamaniNikweli shemu
Jaman sinimeshakuelezea nini kinaendelea lakini? Istoshe pasaka yenyewe ni kesho kwahiyo muda bado upo tu
Ba mkwe nimeghaili acha mwanangu aws sister tu akufwe na hamu zake mpaka akienda mbinguni hukoMama mkwe achaga utoto basi[emoji23] [emoji23]
Mbona unanitesa ivyo kisa mke wangu halali kabisa