Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Hehehee haya bana, endelea kukampanika na kina shunieAsantee, usiku mwema pia.
mm bado nipo nipo lkn...kweupe huku!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehee haya bana, endelea kukampanika na kina shunieAsantee, usiku mwema pia.
mm bado nipo nipo lkn...kweupe huku!
hahaha karibuHehehee haya bana, endelea kukampanika na kina shunie
Na mimi mmoja wapo sema mimi ndo nilishtuka fastaaaaaa nikasepa, nikamwambia, "naenda kwa BADOO"Aaah unaharibuuu Mwacheee! Akazamie chumbe kabsaa! Kama wenzie wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatuna wivu, ila namtahadharisha yasije mpata yaliyonipata mimi, maana wanaume asili yetu ni mojaKila la heri jamani halafu uache kumsumbua Davet wangu kwa nini mna wivu
hatari sana hiyo,,Mi namtakia pasaka jpm
Wewe unadhani ulivyonisaliti nilichukulia poa eeeehAiseeee
Hivi mna nini na mm nikiachika hamu zangu mtanimalizia nyie kama anavyonipa Davet niacheni jamani tena wewe Krait ndio uniache
Asante nakupenda pia.Nakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana
Unaweza usifanye kosa na bado akakukimbia muhimu ni kujiongeza tuHahah!! Aisee mkuu umenifurahisha ila nitajitahidi nisifanye kosa
Unanipenda eeeh! Njoo pmNakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana
Wana JF wote,na salam maalum ni kwa Hajar,Sakayo, Demiss na MziguaHabari zenu wakuu?
Kama heading inavyojieleza huu hapa ni uzi special kwajiri ya kumtakia pasaka njema member yeyote umpendaye
Njoo hapa umtaje na umtakie pasaka njema yeyote bila kuogopa
Mimi naanza kwa kuwatakia pasaka njema wafuatao
1.SHUNIE
2.DAVET
3.MZIGUA90
4.DJ SEPETU
5.FAIZA FOXY
Pia nawatakieni wote PASAKA njema
Asanteni sana
Amen. thanx broAsante sana chief, hakika amefufuka.
Pasaka njema pia Prof
Ho??Ehehehehe
Wewe imekuwa first na second
Asante mpenz ThadShukrani mkuu,karibu tufurahie wote Pasaka
Mmmmh. Wataiba na wengine
Nakutumia pm bbyKwani namba unaimwaga hapa hapa hadharani?
Ahsante mpendwaMzee wa emoj tatu don mzaramo
yna12
cute b
Mwanaharakati Sky Eclat
hearly
baba swalehe
mahondaw na Smart911
ram
Mkuu Billie
Evelyn Salt
Mtu wangu wa nguvu Thad