Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Noel Ngiama Makanda, Woolworth T-shirt 34,000/= kama ni moja halafu 57,000/= kuanzia mbili
Aicee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Aicee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa muhimu kuwa na ratiba yao ya kuingiza mizigo.
Hahah kuna watu huwa wanaangalia wale wanaume wanaofanya fashion show, wandhani hata mtaani wanume tunavaa leather trouser.Na mm nimeishia kushangaa balaa🤣🤣🤣!
Hahaha huyo siye Manengelo kweli? Kwanini Nevada, na isiwe Las Vegas, au Reno au Carson City?Kuna bidada anauza nguo nzuri sana za uturuki na uganda .anaishi kahama anaduka linaitwa nevada!..ana pigo kali sana kuanzia wadada had wamama!😋
Hahaha huyo siye Manengelo kweli? Kwanini Nevada, na isiwe Las Vegas, au Reno au Carson City?
Hahaha huyo siye Manengelo kweli? Kwanini Nevada, na isiwe Las Vegas, au Reno au Carson City?
Hahaha utavaa zote dukani hadi za kiume na watoto?!Hhhaaa sina biashara ya nguo mkuu..navyopenda kuvaa nitamaliza mtaji aisee!
Haahhaa! Ningeweka za kike tu...hyo mijumpsuits km yt yaan vigaun vyot nahamishia kabatiniHahaha utavaa zote dukani hadi za kiume na watoto?!
Vipi ulishaga ingia mkuu..?Nimeliona aisee
The only, Mimi natafuta ''JEANS'' original zile za marekani, kama anazovaa Chuck Norris na Americans wengine. Kama Levis au Lee OG.
Arusha huwa zinakuwepo na kupotea.View attachment 1262436View attachment 1262437View attachment 1262438[/CENTER]
Zipo zinazoitwa grade 1 lakini sio Grade 1 OG.BBro ingia mtumbani zipo kibao izo