Uzi wa kupeana connection za pamba kali

Uzi wa kupeana connection za pamba kali

Na mm nimeishia kushangaa balaa🤣🤣🤣!
Hahah kuna watu huwa wanaangalia wale wanaume wanaofanya fashion show, wandhani hata mtaani wanume tunavaa leather trouser.
Mi huwa naona wanawake ndio huvaa hivyo vi leather trouser vya kubana.
 
Kuna bidada anauza nguo nzuri sana za uturuki na uganda .anaishi kahama anaduka linaitwa nevada!..ana pigo kali sana kuanzia wadada had wamama!😋
Hahaha huyo siye Manengelo kweli? Kwanini Nevada, na isiwe Las Vegas, au Reno au Carson City?
 
Machimbo mengi Kkoo nguo ni za vijana wadogo teenagers.


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Hivi karibuni nimerudi mwanza kuna duka la jeans pembeni mwa barabara hii mpya inayounganisha barabara ya dampo na liberty.... Bango lao lina picha ya jeans Kali za kike na kiume.... Nataka nikapaibukie nizicheki....
 
BBro ingia mtumbani zipo kibao izo
Zipo zinazoitwa grade 1 lakini sio Grade 1 OG.

Yaani unakutana na jeans ambayo ina lux ngumu unamtundika mtoto hapo haikatiki na wala hazipauki pamoja na hizi sabuni zetu za unga

Angalia zile jeans wanazovaa cowboys wa Texas na travolta Mkuu
 
Pamba ziko vunjabei ishu ni hela yako tu
 
Back
Top Bottom