Uzi wa kupeana Fact/Dawa/Vidonge/Ukweli bila kupepesa macho wala kumuogopa mtu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
kuna mambo mengine tusiwe tunayavumilia... watu tuambiane ukweli tu ili watu wenye hayo matatizo wabadilike. hamna haja ya kuoneana aibu wala noma. mimi naanza kwa kuwaweka wazi watu kadhaa kuwa mambo yao kadhaa siyo sawa wajirekebishe na wakome hizo tabia. na wewe kama unao waweke tu wazi.

Demiss nimekusoma sehemu wewe unapenda sana kutaja papuchi kila sehemu sisi wengine unatutia hamu sana ujue.... hayo hiyo ni sehemu ya siri sasa unapoitaja taja sana unatupa hamu ya kutaka kuiona na sisi wengine tumeoa sasa.

Joseverest umekuwa mzee ile kasi yako uliyokuwa nayo sasa umekata pumzi jamaa ulikuwa fast sana kwenye ku comment kwa sasa umekuwa zoba /bwege sana ile speed yako imeenda wapi?jirekebishe.

GuDume wewe stories zako zinaleta sana mambo ya kutiana nyege na unaonekana huna maadili kabisa na umri wako umeeenda sana unategemea utaendelea kuwagonga tu dada zetu hivi hivi mpaka lini? acha ufala bro badilika sasa.tafuta mke oa

GENTAMYCINE mshkaji huwa sometimes upo yes sometimes no.. unaweza ulizwa swali zuri tu ila ukajibu matusi ki ccm ccm... kama akina kibajaji. acha hizo sisi sote ni dugu humu ndani
 

Umejisikiaje leo ' Kummensheni ' GENTAMYCINE Mkuu?
 
Yaani mimi mpaka naogopa maana nikilusha kombola apa wanaume wote wa jf awatapona
SQUIRT LADY MLIVONIJIA MP khaaaaa kisa papa mlitaka kunifunia tu mkome[emoji41]
 
Yaani mimi mpaka naogopa maana nikilusha kombola apa wanaume wote wa jf awatapona
SQUIRT LADY MLIVONIJIA MP khaaaaa kisa papa mlitaka kunifunia tu mkome[emoji41]
Rusha
 
acheni hayo mambo. sio.
 
Naanza na wewe acha ujinga wa kuchanganya maneno ya kiswahili na kiingereza.chagua moja kinyamwez ama kisukuma sio unakuja na maneno "fact"ndo nn au ulitaka uandike "shati"....!
 
Hatuwezi kufanana wote humu ndugu, kumbuka huku ni mchanganyiko kila mtu na tabia, uelewa na maadili yake toka alipokulia, humu sio kanisani wala msikitini, watu wanaiba kanisani msikitini iwe humu changanyikeni? Hizo ni changamota inakulazimu kukabiliananazo ukubali ukatae.
Kabiliana nao kwa hoja badala ya kuwatukana na kuwalaumu, ukishindwa ungananao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…