Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Uache sasa hizo mada,Aisee.
Avatar yako huwa inaendana na story zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uache sasa hizo mada,Aisee.
The shortest reply i've ever seen from you bwana GuDume tangu niijue JF [emoji1][emoji1][emoji1] hahaha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji28][emoji23]
Ngoja nikae kimya tukuna mambo mengine tusiwe tunayavumilia... watu tuambiane ukweli tu ili watu wenye hayo matatizo wabadilike. hamna haja ya kuoneana aibu wala noma. mimi naanza kwa kuwaweka wazi watu kadhaa kuwa mambo yao kadhaa siyo sawa wajirekebishe na wakome hizo tabia. na wewe kama unao waweke tu wazi.
Demiss nimekusoma sehemu wewe unapenda sana kutaja papuchi kila sehemu sisi wengine unatutia hamu sana ujue.... hayo hiyo ni sehemu ya siri sasa unapoitaja taja sana unatupa hamu ya kutaka kuiona na sisi wengine tumeoa sasa.
Joseverest umekuwa mzee ile kasi yako uliyokuwa nayo sasa umekata pumzi jamaa ulikuwa fast sana kwenye ku comment kwa sasa umekuwa zoba /bwege sana ile speed yako imeenda wapi?jirekebishe.
GuDume wewe stories zako zinaleta sana mambo ya kutiana nyege na unaonekana huna maadili kabisa na umri wako umeeenda sana unategemea utaendelea kuwagonga tu dada zetu hivi hivi mpaka lini? acha ufala bro badilika sasa.tafuta mke oa
GENTAMYCINE mshkaji huwa sometimes upo yes sometimes no.. unaweza ulizwa swali zuri tu ila ukajibu matusi ki ccm ccm... kama akina kibajaji. acha hizo sisi sote ni dugu humu ndani
Pole sn broAisee.
Unanipa hamu ya kuutafuta
Watu weweweeee sipendi umbea ila hapa sibandukiHii namwambia kurlzawa.
Mwanzo tulitupiana maneno ya kashfa, nikakuomba msamaha na posts zangu nikafuta.
ukaanzisha uzi wa kulalamika nimekutukana na kuwataka mods wanichukulie hatua ama sivyo utashughulika na mimi privately.
Kwakua nilishakuomba radhi, bila kujali kua wewe ndiyo ulianzisha matusi, nilitarajia mimi na wewe yaishie siku ile.
Juzi ukaniquote ukanitukana. Nikakukumbusha kua tulishafanya hiki kitu ukaenda kuanzisha uzi wa kulalamika, sijisikii kulumbana you are so fragile. Ukakausha.
Jana umerudia ishu hiyo hiyo.
Sasa usije ukakasirika.
Aisee nataman urudi
Hatar nimeona uwiiii