Uzi wa kupeana Fact/Dawa/Vidonge/Ukweli bila kupepesa macho wala kumuogopa mtu

Uzi wa kupeana Fact/Dawa/Vidonge/Ukweli bila kupepesa macho wala kumuogopa mtu

Naulizia dawa ya wale wanaoquote uzi mrefu kama kutoka Moro-Sumbawanga halafu wanaandka maneno mawili come on mae zao hawajui kama wengne twatumia itel za tochi
 
Na mm nina gundu na wanaume mnaokataliwa pm na kujifanya unamjua mtu ukija hapa kwenye uzi wangu unanipondea nasema je

Kamweee siyumbishwiii na maneno yenuu bali mnajitesa tu na huo wivuuu wenu

Demiss ni kama Ccm ambayo watu wake vilazaa kama polepole
 
kuna mambo mengine tusiwe tunayavumilia... watu tuambiane ukweli tu ili watu wenye hayo matatizo wabadilike. hamna haja ya kuoneana aibu wala noma. mimi naanza kwa kuwaweka wazi watu kadhaa kuwa mambo yao kadhaa siyo sawa wajirekebishe na wakome hizo tabia. na wewe kama unao waweke tu wazi.

Demiss nimekusoma sehemu wewe unapenda sana kutaja papuchi kila sehemu sisi wengine unatutia hamu sana ujue.... hayo hiyo ni sehemu ya siri sasa unapoitaja taja sana unatupa hamu ya kutaka kuiona na sisi wengine tumeoa sasa.

Joseverest umekuwa mzee ile kasi yako uliyokuwa nayo sasa umekata pumzi jamaa ulikuwa fast sana kwenye ku comment kwa sasa umekuwa zoba /bwege sana ile speed yako imeenda wapi?jirekebishe.

GuDume wewe stories zako zinaleta sana mambo ya kutiana nyege na unaonekana huna maadili kabisa na umri wako umeeenda sana unategemea utaendelea kuwagonga tu dada zetu hivi hivi mpaka lini? acha ufala bro badilika sasa.tafuta mke oa

GENTAMYCINE mshkaji huwa sometimes upo yes sometimes no.. unaweza ulizwa swali zuri tu ila ukajibu matusi ki ccm ccm... kama akina kibajaji. acha hizo sisi sote ni dugu humu ndani
Ngoja nikae kimya tu
 
Kwanza wewe mwenyewe nikuchane kuna Siku tulikutana kwenye Uzi flani ukamitusi ukanifata tena pm nika kustahi nikashindwa mpk Leo nimekiblock
 
Hii namwambia kurlzawa.

Mwanzo tulitupiana maneno ya kashfa, nikakuomba msamaha na posts zangu nikafuta.

ukaanzisha uzi wa kulalamika nimekutukana na kuwataka mods wanichukulie hatua ama sivyo utashughulika na mimi privately.

Kwakua nilishakuomba radhi, bila kujali kua wewe ndiyo ulianzisha matusi, nilitarajia mimi na wewe yaishie siku ile.

Juzi ukaniquote ukanitukana. Nikakukumbusha kua tulishafanya hiki kitu ukaenda kuanzisha uzi wa kulalamika, sijisikii kulumbana you are so fragile. Ukakausha.

Jana umerudia ishu hiyo hiyo.

Sasa usije ukakasirika.
Watu weweweeee sipendi umbea ila hapa sibanduki
 
Back
Top Bottom